Browsed by
Category: MAISHA NA SAYANSI

Ili kufanikiwa na kupata unachokitaka badili hiki kwanza

Ili kufanikiwa na kupata unachokitaka badili hiki kwanza

Mpendwa rafiki, Heri ya mwezi mpya. Mazingira yanamchango mkubwa sana kwenye mafanikio yako. Kile unachokitaka, kile unachokipata kwa namna moja ama nyingine kinaathiriwa na mazingira yanayokuzunguka. Unataka kupunguza uzito? Angalia mazingira yanayokunguka; utaona ni kwa namna gani yanachangia wewe kuwa na uzito uliopitiliza. Marafiki wanokuzunguka, urahisi wa upatikanaji wa vyakula vinavyochangia wewe kupata uzito uliopitiliza n.k. Sasa ili uweze kufanikiwa kuwa na uzito unaoutaka au unaotakiwa unapaswa kupunguza uzito. Mfano; Ili kupunguza uzito umejiwekea utaratibu wa kula karoti kila siku….

Read More Read More

Maeneo manne ya kuweka malengo ili upige hatua mwaka 2024

Maeneo manne ya kuweka malengo ili upige hatua mwaka 2024

Kwako rafiki mpendwa, Heri ya mwaka mpya 2024. Tayari siku ya kwanza ya mwaka 2023 imeshakatika, je kuna kitu chochote cha tofauti ulichofanya jana kuliko ulivyofanya juzi yaani mwaka 2023? Ni muhimu kukumbuka kuwa kinachobadilika huwa ni namba tu, kama hutabadili fikra na akili zako. Mwaka mpya kwako utakuwa ni jina tu. Sasa ushauri wangu kwa mwaka huu mpya ni kuwa na malengo makubwa, kuliko uliyokuwa umeweka mwaka jana. Unapoweka malengo yako mapya, hakikisha unaweka malengo kwenye maeneo haya manne…

Read More Read More

MIAKA 8 YA NDOA NA MAMBO 8 NILIYOJIFUNZA KUHUSU NDOA

MIAKA 8 YA NDOA NA MAMBO 8 NILIYOJIFUNZA KUHUSU NDOA

Mpendwa rafiki, mwezi huu wa 12 imetimia miaka 8 toka nilipofunga ndoa. Hapa kuna mambo 8 niliyojifunza kuhusu ndoa. Je, wewe ni namba ipi hapo juu imekugusa moja kwa moja? Kitu kimoja zaidi, ili kujifunza na kupata maarifa zaidi pata nakala ya kitabu NDOA SI NDOANO ili ndoa kwako isiwe ndoano. Habari njema ni kwamba leo utalipia Sh. 15000/= badala ya kulipa 20,000/=. Ofa hii inaisha leo. Pia nakala zimebaki chache. Lipa kwenda 0768497747 au piga 0655046577/0789353877. Pia Unaweza kujiunga…

Read More Read More

Mwanamume kuwa makini na hiki kitu

Mwanamume kuwa makini na hiki kitu

Mpendwa rafiki, Mwanamume ni kama simba anayemfukuzia swala, pale swala anaposimama na asiendelee kukimbie simba naye atasimama. Maana yake ni kwamba, wakati mume wako anakuoa, ulikuwa unaonekana mtanashati kila wakati, ulikuwa unajilemba na kujipamba. Ulikuwa msafi, na mwenye muonekano wa kumvutia na hivyo kumshawishi mpaka akakuoa, sasa umeshaolewa, umeshazaa umeacha kuwa kujilemba nakujipamba maana yake, na mume wako ataacha kushawishika na kuvutiwa na wewe. Madhara yake huwa ni makubwa sana kwani hupelekea wanandoa wengi kuingia kwenye migogoro. Utamsikia mwanamke anasema…

Read More Read More

Je unayajua mahitaji yako na ya mwenza wako kwenye mahusiano?

Je unayajua mahitaji yako na ya mwenza wako kwenye mahusiano?

Mahitaji yasiyotimizwa au kutimia huwa ni chanzo cha mfadhaiko na kukata tamaa kwa watu wengi kwenye mahusiano. Hivyo kitu cha muhimu kabisa ni mahitaji kutimia na kutimizwa kwenye mahusiano. Je, wewe huwa unatimiza mahitaji ya mwenza wako kwenye mahusiano ya ndoa?Je, mwenza wako je naye huwa anatimiza mahitaji yako? Je unajua mahitaji haswa ya mwenza wako? Kwenye kitabu KIPYA cha Ndoa si ndoano utajifunza kanuni ya mahitaji ya mwanamke na mwanamume kwenye mahusiano ya ndoa. Lipa sasa elfu 20 kwenda…

Read More Read More

Sababu Hizi Siyo Za Msingi Kwa Wewe Kuingia Kwenye Mahusiano ya Ndoa

Sababu Hizi Siyo Za Msingi Kwa Wewe Kuingia Kwenye Mahusiano ya Ndoa

Mpendwa rafiki, Watu huingia kwenye mahusiano ya ndoa kwa sababu mbalimbali. Wengine huingia kwa sababu nzuri na sahihi huku wengine wakiingia kwa sababu mbaya, za hovyo na zisizo sahiihi kabisa. Hapa tuna kwenda kujifunza sababu nane zisizofaa, na zisizo na afya kwa wewe kuingia kwenye ndoa. 1. Matarajio ni hatari kuingia nayo kwenye ndoa na mahusiano Matarajio siyo sawa na mahitaji. Kutarajia chochote kutoka kwa mwenza wako ni hatari kwenye ndoa na mahusiano yako, kwani matarajio yasipotimizwa huo ndiyo mwisho…

KWA NINI HAUPATI KILE UNACHOKITAKA AU HAUWI YULE UNAYEMTAKA?

KWA NINI HAUPATI KILE UNACHOKITAKA AU HAUWI YULE UNAYEMTAKA?

Kwako mpendwa rafiki; Miaka kumi iliyopita nilikuwa nataka kuwa mwandishi wa vitabu vya hamasa! Ndiyo! Vitabu vya kuhamasisha wengine kubadili namna ya kufikiri na kupiga hatua kwenye mafanikio na maisha yao. Basi, nikiwa shule ya sekondari nilikuwa nikiandika makala mbali mbali za kuelimisha na kutoa hamasa kwa wengine. Kwa ufupi, nilikuwa najua nataka nini. Nataka kuwa nani. Lakini bado sikuweza kuwa mwandishi wa vitabu. Sikuwa najua namna ya kuwa ninayemtaka na kupata ninachokitaka. Mhhh hebu subiri kwanza; kwani wewe unajua…

Read More Read More

MAMBO 10 YANAYOKUZUIA KUPIGA HATUA KWENYE MAHUSIANO NA MAFANIKIO YAKO 2

MAMBO 10 YANAYOKUZUIA KUPIGA HATUA KWENYE MAHUSIANO NA MAFANIKIO YAKO 2

Kwako mpendwa rafiki Jana tulijifunza mambo matano kati kumi ambayo hankuzuia wewe kupiga hatua kwenye mahusiano na mafaniko yako. Leo tunaangazia mambo mengine matano. Unaweza kusoma hapa kama ulipitwa na makala hiyo 6. Kujithibitishia uhalali wa jambo au tendo(Justification). Hiki ndicho chanzo cha mambo yote mabaya, dhambi zote, matendo yasiyofaa ambayo mtu anaweza kujifanyia au kimfanyia mwingine. Kabla mtu hajafanya kosa, dhambi au kitendo kiovu, lazima atajipa uhalali wa kukifanya ndipo atakifanya. Hii inatokana kufikiria vibaya kwa kujihesabia haki, kujipa…

Read More Read More