Browsed by
Month: February 2023

Wanamume wanaongea kwa ajili ya taarifa, wanawake wanaongea kwa ajili ya mahaba

Wanamume wanaongea kwa ajili ya taarifa, wanawake wanaongea kwa ajili ya mahaba

Mpendwa rafiki, Huwa kunapengo kubwa sana kwenye mawasiliana kati ya mwanamke na mwanamume wanapokuwa wanazungumuza kwenye mahusiano. Hii hutokana na utofuti uliopo kati ya mwanamke na mwanamume kwenye mazungumzo yao. Mwanamume huwa anaongea pale tu kunapokuwa na taarifa anataka kupata au kutoa kwa mwenza wake, lakini mwanamke yeye huongea kwa ajili ya huba, mahaba na mapenzi kwa yule anayempenda. Nakumbuka siku moja nikiwa kwenye semina ya wa wanandoa, niliulizwa swali na wa mama, kwanini wanamume mkiondoka kwenda kazini hampigi tena…

Read More Read More

Mwanamume anatoa upendo ili apate tendo la ndoa, mwanamke anatoa tendo la ndoa ili apate upendo

Mwanamume anatoa upendo ili apate tendo la ndoa, mwanamke anatoa tendo la ndoa ili apate upendo

Mpendwa rafiki, Ni muhimu kufahamu na kukubali kwamba, mwanamume na mwanamke kuna utofauti. U tofauti huu ndiyo unaofanya mahusiano ya ndoa kuwa na radha, kuwa mazuri na yenyefuraha kama tu nyinyi wahusika mtajua na kukubali utofauti mlionao. Kama ulipitwa na makala zilizotangulia juu ya tofauti ya mwanamke na mwanamume zisome hapa na hapa. Katika utofauti huu, mwanamume huwa anabadilishana na mwanamke upendo( anatoa upendo), huku yeye akipata tendo la ndoa yaani sex. Kwa upande wa mwanamke, kwa sababu yeye hitaji…

Read More Read More

Wanamume ni watu wa mantiki, wanawake ni watu wa hisia kwenye mahusiano

Wanamume ni watu wa mantiki, wanawake ni watu wa hisia kwenye mahusiano

Mpendwa rafiki, Sina uhakika kama unajua au ulishawahi kusikia, lakini ukweli ni kuwa, mwanamume ni mtu anayeongozwa na mantiki zaidi kuliko hisia kwenye eneo la mahusiano. Hii haina maana kwamba wanamume hawana kabisa hisia, hapana wanahisia pia. Lakini linapokuja suala la mahusiano na mwenza au mke wake, kinachotangulia kwake huwa ni mantiki kwanza. Lakini kwenye maeneo mengine ya maisha, kama michezo, burudani na hata hobi, mwanamume huonesha na kutanguliza hisia. Bila shaka ulishawahi kumuona mwanamume ambaye ni shabiki wa mpira,…

Read More Read More

Tofauti kati ya mwanamke na mwanamume unazopaswa kuzingatia

Tofauti kati ya mwanamke na mwanamume unazopaswa kuzingatia

Mpendwa rafiki, Binadamu wote ni sawa lakini, watu wote siyo sawa, kunautofauti. Kuna utofauti kati ya mwanamke na mwanamume. Na huo utofauti ndiyo unaoleta usawa na uwiano kwenye maisha yetu. Kutokana na utofauti huo kimaumbile, huleta pia utofauti wa kimajukumu na mugawanyo wa kazi. Kutokujua na kuzingatia ukweli huu ndiyo chanzo cha migogoro na kuvunjika kwa ndoa na mahusiano mengi kwenye jamii yetu. Hapa tunakwenda kujifunza baadhi ya tofauti kati ya mwanamke na mwanamume unazopaswa kuzijua na kuzizingatia kwenye mahusiano…

Read More Read More

Zitawale hisia zako kwenye mahusiano yako kwa kufanya hivi

Zitawale hisia zako kwenye mahusiano yako kwa kufanya hivi

Mpendwa rafiki, Watu wengi kwa sasa wanaamini kwamba kile wanachojisikia na kuhisi ndicho cha ukweli. Ni kweli hisia zetu zinaweza kuwa za kweli lakini siyo kila wakati hisia zetu ziko sahihi. Unaweza ukajihisi na kujisikia vizuri sasa hivi, lakini baadaye kidogo ukajisikia tofauti au vibaya. Watu wengi wanajua jinsi ya kuzitawala hisia zao katika maeneo au nyanja zingine za maisha kama vile kazi, biashara n.k . Mfano, hata kama mtu hajisikii vizuri kwenda kazini siku hiyo, labda hakulala vizuri siku…

Read More Read More

Swali unalopaswa kumuuliza umpendaye siku ya wapendanao

Swali unalopaswa kumuuliza umpendaye siku ya wapendanao

Sina uhakika kama unajua, lakini leo ni siku ya wapendano. Wakati watu mbali mbali wakisherehekea siku hii, ni muhimu wewe kujifunza mambo yatakayokusaidia kuwa na mahusiano yenye upendo. Unaweza kujiuliza; sasa nitajuaje kama mahusiano yangu yanaupendo? au mwenzangu anaupendo? Ananipenda? Jibu ni moja tu, upendo huwa hauonekani, bali huwa kunaishara ya upendo tu. Ishara kuu ya upendo ni furaha. Furaha ndiyo ishara pekee inayoaashiria uwepo wa upendo. Palipo na furaha pana upendo, na palipo na upendo pana furaha. Kwa sababu…

Read More Read More

Kama hauuzi basi unauzwa

Kama hauuzi basi unauzwa

Rafiki mpendwa, Kama ningeambiwa nichague ujuzi mmoja tu kwenye maisha yangu, basi ningechangua ujuzi wa mauzo. Huu ni ujuzi ambao kila mmoja wetu anapaswa kuwa nao. Kutokuwa na ujuzi huu wa mauzo, ni chanzo cha watu wengi kuwa masikini. Pesa na vitu vyote unavyohitaji hapa duniani vyote wanavyowatu wengine. Sasa huwezi kuvipata au wao kukupatia wewe kama huwezi kuwauzia. Kama wewe ni mkulima wa mpunga, utahitaji kuuza mpunga wako ili uweze kupata fedha, hivyo hivyo kwa mfugaji, mfanyakazi na mfanyabiashara….

Read More Read More

Chimba kisima chako kabla hujasikia kiu!

Chimba kisima chako kabla hujasikia kiu!

Mpendwa rafiki, Watu wengi huwa hawafanyi maandalizi katika kile wanachokifanya au watakachokifanya, iwe ni biashara kazi na hata maisha kwa ujumla. Hivyo hawapati kile wanachokitaka kwenye maisha yao. Pata picha uko na kiu sana ya maji, kisha unaamua kuwa ili uweze kupata maji ya kukata kiu yako hiyo, basi uchimbe kisima. Kwanza itakuchukua muda mrefu, nguvu nyingi na hatakupelekea kuchochea kiu zaidi. Pili utapoteza maji mengi mwilini kwa sababu ya kufanya kazi ya nguvu, hivyo kuchoka zaidi hata kabla hujayapata…

Read More Read More