Browsed by
Month: August 2023

KWA NINI HAUPATI KILE UNACHOKITAKA AU HAUWI YULE UNAYEMTAKA?

KWA NINI HAUPATI KILE UNACHOKITAKA AU HAUWI YULE UNAYEMTAKA?

Kwako mpendwa rafiki; Miaka kumi iliyopita nilikuwa nataka kuwa mwandishi wa vitabu vya hamasa! Ndiyo! Vitabu vya kuhamasisha wengine kubadili namna ya kufikiri na kupiga hatua kwenye mafanikio na maisha yao. Basi, nikiwa shule ya sekondari nilikuwa nikiandika makala mbali mbali za kuelimisha na kutoa hamasa kwa wengine. Kwa ufupi, nilikuwa najua nataka nini. Nataka kuwa nani. Lakini bado sikuweza kuwa mwandishi wa vitabu. Sikuwa najua namna ya kuwa ninayemtaka na kupata ninachokitaka. Mhhh hebu subiri kwanza; kwani wewe unajua…

Read More Read More

MAMBO 10 YANAYOKUZUIA KUPIGA HATUA KWENYE MAHUSIANO NA MAFANIKIO YAKO 2

MAMBO 10 YANAYOKUZUIA KUPIGA HATUA KWENYE MAHUSIANO NA MAFANIKIO YAKO 2

Kwako mpendwa rafiki Jana tulijifunza mambo matano kati kumi ambayo hankuzuia wewe kupiga hatua kwenye mahusiano na mafaniko yako. Leo tunaangazia mambo mengine matano. Unaweza kusoma hapa kama ulipitwa na makala hiyo 6. Kujithibitishia uhalali wa jambo au tendo(Justification). Hiki ndicho chanzo cha mambo yote mabaya, dhambi zote, matendo yasiyofaa ambayo mtu anaweza kujifanyia au kimfanyia mwingine. Kabla mtu hajafanya kosa, dhambi au kitendo kiovu, lazima atajipa uhalali wa kukifanya ndipo atakifanya. Hii inatokana kufikiria vibaya kwa kujihesabia haki, kujipa…

Read More Read More