Browsed by
Month: October 2022

Mambo mawili ambayo mtu yeyote hatakiwi kukuzidi

Mambo mawili ambayo mtu yeyote hatakiwi kukuzidi

Rafiki, kwenye maisha na mafanikio unaweza kuzidiwa na mtu yeyote. Wala hilo siyo kosa wala tatizo. Unaweza kuzidiwa kipato, elimu na hata maisha mazuri. Wala isiwe kosa au dhambi. Pamoja na kuzidiwa huko, kamwe usiruhu mtu yeyote akuzidi kwenye vitu hivi viwili. 1. Kujifunza na kuchukua. Rafiki kama huwa haujifunzi huwezi kupiga hatua yoyote ile kuelekea kwenye mafanikio unayoyataka. Lakini pia kama utaishia kujifunza tu na usichukue hatua, bado hutaweza kupiga hatua. Hakikisha unakuwa mtu wa kujifunza na kuchukua hatua….

Read More Read More

Kukosekana kwa uwazi ni tatizo kubwa kwenye mahusiano mengi

Kukosekana kwa uwazi ni tatizo kubwa kwenye mahusiano mengi

Rafiki, kutokuwa wawazi kwenye mahusiano ni sawa na kujifunika blanketi fupi. Kadili unavyopambana kujifunika kichwani ndivyo miguu inabaki wazi zaidi, na kadili unavyofunika miguu ndiyo kichwa kinabaki wazi zaidi. Kutokumwambia mwenza wako huharibu radha ya mahusiano na mazuri na mwenza wako. Mawasiliano huharibika na hivyo mahusiano pia kuharibika. Kama unakitu ambacho huwezi kumwambia au hutaki mwenza wako ajue, huko ni kujidanganya kwani ipo siku atajua tu. Unachopaswa kufanya ni kutafuta njia nzuri ya kumwambia hata kama kitamletea maumivu kwa sasa,…

Read More Read More