Haya ndiyo matatizo yanayoletwa na malengo, na jinsi ya kuyaepuka
Kama kuna kuna kitu ambacho kimekuwa kikipigiwa kelele sana, basi ni kuwa na malengo. Watu wengi huwa tunaweka malengo, lakini cha kushangaza ni kuwa kuna mambo manne ya muhimu kuyajua ambayo huwa hatuyafikirii kabisa, pale tunapo kuwa tuna weka malengo. Na haya huwa yanachagia sana kutokutimiza malengo yetu. Mwandishi wa kitabu cha atomic habits, James Clear katika kufanya utafiti wake, alingundua kuwa kuna matatizo 4 yanayo ambatana na uwekaji malengo, ambayo unapaswa kuyafahamu na kuyaepuka. Na haya ndiyo chanzo cha…