Browsed by
Month: July 2019

Namna ya kupanda, kupalilia na kuvuna kutoka kwenye miti mitano izaayo pesa 3

Namna ya kupanda, kupalilia na kuvuna kutoka kwenye miti mitano izaayo pesa 3

Karibu sana rafiki kwenye mwendelezo wa makala yetu ya miti mitano izaayopesa, katika makala zilizopita, tumeona baadhi ya miti hiyo ambayo inazaa pesa hata kama wewe haupo katika usimamizi wa moja kwa moja. Miti hii ni kama mashine ya kuchapa fedha. Tayari tumeshajifunza miti ya Biashara ya upangishaji au ukodishajina Biashara ya mifumo ya kompyuta (Computer software systems) kama hujazisoma zisome hapa na hapa Leo tunaenda kujifunza miti mingine mitatu kwa kina amayo ni Biasahara ya mifumo ya maudhui(content systems), Biashara ya mifumo ya…

Read More Read More