Hivi ndivyo unavyoweza kukabiliana na wivu wa kimapenzi
Rafiki, kila kona, kila sehemu siku hizi kilio kikubwa sana na chanzo kikubwa cha wanandoa na wapenzi kujeruhiana au kuuana kabisa huwa ni wivu wa kimapenzi. Wivu wa kimapenzi umeua wengi, umejeruhi wengi na umevunja ndoa nyingi tu. Hisia ya wivu ni muhimu sana kwenye maisha yetu, ikiwemo mahusiano ya ndoa, kwani hutumika kukilinda kile ambacho tunacho. Lengo ni kuwalinda wenza wetu kwa kuwajali, kuwahudumia kwa kuhakikisha hawaangukii kwenye u miliki au himaya ya watu wengine. Pamoja na ukweli huo,…