Browsed by
Month: January 2020

Umuhimu wa kuwa na mfumo wako wamaisha

Umuhimu wa kuwa na mfumo wako wamaisha

Hakuna kitu hapa duniani kinachoweza kujiendesha chenyewe, bila ya kutegemea mfumo. Hata mwili wetu wanadamu unamifumo mbali mbali inayotusaidia kuwa na afya njema. Mfumo kama wa upumuaji, mfumo wa chakula na mfumo wa mzunguko wa damu, ni baadhi tu ya mifumo mbalimbali tuliyonayo kwenye miili yetu inayotusaidi kuwa na afya njema. Mfumo mmoja wapo ukishindwa kufanya kazi, maana yake hakuna maisha tena. Hivyo linapokuja suala la kuwa na mfumo katika maisha ni jambo la lazima.  Ukiona maisha yako hayako kama…

Read More Read More