Browsed by
Category: MAFANIKIO NA HAMASA

Ili kufanikiwa na kupata unachokitaka badili hiki kwanza

Ili kufanikiwa na kupata unachokitaka badili hiki kwanza

Mpendwa rafiki, Heri ya mwezi mpya. Mazingira yanamchango mkubwa sana kwenye mafanikio yako. Kile unachokitaka, kile unachokipata kwa namna moja ama nyingine kinaathiriwa na mazingira yanayokuzunguka. Unataka kupunguza uzito? Angalia mazingira yanayokunguka; utaona ni kwa namna gani yanachangia wewe kuwa na uzito uliopitiliza. Marafiki wanokuzunguka, urahisi wa upatikanaji wa vyakula vinavyochangia wewe kupata uzito uliopitiliza n.k. Sasa ili uweze kufanikiwa kuwa na uzito unaoutaka au unaotakiwa unapaswa kupunguza uzito. Mfano; Ili kupunguza uzito umejiwekea utaratibu wa kula karoti kila siku….

Read More Read More

Maeneo manne ya kuweka malengo ili upige hatua mwaka 2024

Maeneo manne ya kuweka malengo ili upige hatua mwaka 2024

Kwako rafiki mpendwa, Heri ya mwaka mpya 2024. Tayari siku ya kwanza ya mwaka 2023 imeshakatika, je kuna kitu chochote cha tofauti ulichofanya jana kuliko ulivyofanya juzi yaani mwaka 2023? Ni muhimu kukumbuka kuwa kinachobadilika huwa ni namba tu, kama hutabadili fikra na akili zako. Mwaka mpya kwako utakuwa ni jina tu. Sasa ushauri wangu kwa mwaka huu mpya ni kuwa na malengo makubwa, kuliko uliyokuwa umeweka mwaka jana. Unapoweka malengo yako mapya, hakikisha unaweka malengo kwenye maeneo haya manne…

Read More Read More

Heri ya Krismas na mwaka mpya 2024

Heri ya Krismas na mwaka mpya 2024

Mpendwa rafiki, Unaweza Investment inawatakia heri ya Krismass na mwaka mpya 2024. Karibu sana tuendelee kuwa pamoja kwa mwaka 2024. Habari njema ni kwamba, vitabu vyetu pendwa vipo kwenye punguzo kubwa kabisa wakati huu wa sikuku. Jipatie vitabu vya 1. Unaweza Kuwa Unayemtaka kwa 10000/=, 2. Itawale hofu yako kwa 10000/=, 3. Ndoa si ndoano kwa elfu 10000/=. Jumla utalipa elfu 30 tu badala ya elfu 40. Piga 0655046577/0789353877 utaletewa ulipo. Pia Unaweza kujiunga na kundi letu la WhatsApp https://chat.whatsapp.com/LwoojycUxgpE11qCQLcosa…

Read More Read More

MIAKA 8 YA NDOA NA MAMBO 8 NILIYOJIFUNZA KUHUSU NDOA

MIAKA 8 YA NDOA NA MAMBO 8 NILIYOJIFUNZA KUHUSU NDOA

Mpendwa rafiki, mwezi huu wa 12 imetimia miaka 8 toka nilipofunga ndoa. Hapa kuna mambo 8 niliyojifunza kuhusu ndoa. Je, wewe ni namba ipi hapo juu imekugusa moja kwa moja? Kitu kimoja zaidi, ili kujifunza na kupata maarifa zaidi pata nakala ya kitabu NDOA SI NDOANO ili ndoa kwako isiwe ndoano. Habari njema ni kwamba leo utalipia Sh. 15000/= badala ya kulipa 20,000/=. Ofa hii inaisha leo. Pia nakala zimebaki chache. Lipa kwenda 0768497747 au piga 0655046577/0789353877. Pia Unaweza kujiunga…

Read More Read More

Mwanamume kuwa makini na hiki kitu

Mwanamume kuwa makini na hiki kitu

Mpendwa rafiki, Mwanamume ni kama simba anayemfukuzia swala, pale swala anaposimama na asiendelee kukimbie simba naye atasimama. Maana yake ni kwamba, wakati mume wako anakuoa, ulikuwa unaonekana mtanashati kila wakati, ulikuwa unajilemba na kujipamba. Ulikuwa msafi, na mwenye muonekano wa kumvutia na hivyo kumshawishi mpaka akakuoa, sasa umeshaolewa, umeshazaa umeacha kuwa kujilemba nakujipamba maana yake, na mume wako ataacha kushawishika na kuvutiwa na wewe. Madhara yake huwa ni makubwa sana kwani hupelekea wanandoa wengi kuingia kwenye migogoro. Utamsikia mwanamke anasema…

Read More Read More

KWA NINI HAUPATI KILE UNACHOKITAKA AU HAUWI YULE UNAYEMTAKA?

KWA NINI HAUPATI KILE UNACHOKITAKA AU HAUWI YULE UNAYEMTAKA?

Kwako mpendwa rafiki; Miaka kumi iliyopita nilikuwa nataka kuwa mwandishi wa vitabu vya hamasa! Ndiyo! Vitabu vya kuhamasisha wengine kubadili namna ya kufikiri na kupiga hatua kwenye mafanikio na maisha yao. Basi, nikiwa shule ya sekondari nilikuwa nikiandika makala mbali mbali za kuelimisha na kutoa hamasa kwa wengine. Kwa ufupi, nilikuwa najua nataka nini. Nataka kuwa nani. Lakini bado sikuweza kuwa mwandishi wa vitabu. Sikuwa najua namna ya kuwa ninayemtaka na kupata ninachokitaka. Mhhh hebu subiri kwanza; kwani wewe unajua…

Read More Read More

MAMBO 10 YANAYOKUZUIA KUPIGA HATUA KWENYE MAHUSIANO NA MAFANIKIO YAKO 2

MAMBO 10 YANAYOKUZUIA KUPIGA HATUA KWENYE MAHUSIANO NA MAFANIKIO YAKO 2

Kwako mpendwa rafiki Jana tulijifunza mambo matano kati kumi ambayo hankuzuia wewe kupiga hatua kwenye mahusiano na mafaniko yako. Leo tunaangazia mambo mengine matano. Unaweza kusoma hapa kama ulipitwa na makala hiyo 6. Kujithibitishia uhalali wa jambo au tendo(Justification). Hiki ndicho chanzo cha mambo yote mabaya, dhambi zote, matendo yasiyofaa ambayo mtu anaweza kujifanyia au kimfanyia mwingine. Kabla mtu hajafanya kosa, dhambi au kitendo kiovu, lazima atajipa uhalali wa kukifanya ndipo atakifanya. Hii inatokana kufikiria vibaya kwa kujihesabia haki, kujipa…

Read More Read More

Mambo 10 yanayokuzuia kupiga hatua kwenye mahusiano na mafanikio yako

Mambo 10 yanayokuzuia kupiga hatua kwenye mahusiano na mafanikio yako

Kwako mpendwa rafiki, Hapa kuna mambo kumi ya kuepuka ili uweze kupiga hatua kwenye mahusiano na mafaniko yako. Unapaswa kuyaepuka kwa namna na kwa gharama yeyote ile. Leo tutaangalia mambo matano na kesho tutamalizia mambo mengine matano. 1. Kujiweka upande wa mhanga au mwathiriwa wakati wote. Unakuwa unajisikia wewe ni muhanga na mwathiriwa wa kila mtu hata kama watu hao hawana nia wala lengo la kukuumiza. Wewe ndiye unakuwa unajiweka upande wa kushindwa tu. Epuka mara moja kujituhumu, kujihukumu na…

Read More Read More

Mambo sita ya kuzingatia kwenye maisha yako ili uwe mkuu

Mambo sita ya kuzingatia kwenye maisha yako ili uwe mkuu

Kwako mpendwa rafiki, Watu wengi huwa hawaijui siri hii. Unatakiwa uwe mtumwa wa kipaji, kazi na kusudi lako kama unataka kuwa mkuu. Ninaposema unakuwa mtumwa, nina maana kwamba wewe utaamka mapema kuliko wenzako ili kukitumikia kipaji, kusudi au kazi yako hiyo. Na pia utalala wa mwisho, na kuamka wa kwanza ili kuhakikisha unakitumikia kipaji chako, kazi yako na kusudi lako. Mtu yeyote anayetaka kuwa mkuu, lazima akubali kuwa mtumwa wa kipaji, kazi na kusudi lake. Hii ni kanuni ya asili,…

Read More Read More