Hata usipo chagua, tayari umeshachagua kutokuchagua
Habari za leo msomaji wa mtandao wa Unaweza, ni matumaini yangu kuwa haujambo kabisa, na unaendelea na shughuli zako kama kawaida. Na kama hauko vizuri kiafya nakutakia kila la heri, uweze kupona haraka. Siku ya leo tutafakari kwa kina ujumbe huu “Hata usipo chagua, tayari umeshachagua kutokuchagua”, na hakikisha unasoma na kuchukua hatua ili kubadili maisha yako. Ndugu msomaji, hakuna kitu mwanadamu anaweza kufanya bila ya kuchagua, isipokuwa azaliwe wapi na wazazi wapi. Unapo amka asubuhi,cha kwanza ni kufanya…